Natafuta Mashine ya kupandia nafaka

Natafuta Mashine ya kupandia nafaka

Kafiti

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
537
Reaction score
220
Habari wanajukwaa,

Naomba kufahamishwa ninapoweza kupata hii mashine ya kupandia mbegu kama alizeti, ufuta, mahindi nk.

Seed Planter Video

Eneo nilipo ni Dar es salaam. Ni vyema zaidi tukafahamishana na gharama iwapo inajulikana.

Seeder 1.jpg

seeder 2.jpg
 
Habari. Ulipata hii mashine. Kama bado naweza kukuunganisha na wauzaji Iringa. Bei zake Mara ya mwisho mwaka Jana ilikuwa Kati ya 270,000 mpaka 370,000.
 
Ukip

Ukipata nishtue mkuu
Niliipata mkuu,

Gharama kwa yenye kupanda mbegu peke yake ni 300,000-350,000/= na kwa yenye kupanda mbegu pamoja na kuweka mbolea ni 450,000-500,000/=.

Dar es Salaam Lumumba na Tandamiti Junction.

Youtube wacheki Hans Agriculture au Hans Machinery kuona machine walizonazo.
0692 365926
 
Habari. Ulipata hii mashine. Kama bado naweza kukuunganisha na wauzaji Iringa. Bei zake Mara ya mwisho mwaka Jana ilikuwa Kati ya 270,000 mpaka 370,000.
Mkuu tupe details za huko kama machine ni nzuri na gharama ni nafuu, inawezekana tukaagiza kutoka huko.
 
Niliipata mkuu,

Gharama kwa yenye kupanda mbegu peke yake ni 300,000-350,000/= na kwa yenye kupanda mbegu pamoja na kuweka mbolea ni 450,000-500,000/=.

Dar es Salaam Lumumba na Tandamiti Junction.

Youtube wacheki Hans Agriculture au Hans Machinery kuona machine walizonazo.
0692 365926
Naamini ulishaijaribu.
Ili kupandia ni lazima shamba liwe limepigwa haro sio?
Kwa maan kuwa udongo usiwe na mabongemabonge.
 
Niliipata mkuu,

Gharama kwa yenye kupanda mbegu peke yake ni 300,000-350,000/= na kwa yenye kupanda mbegu pamoja na kuweka mbolea ni 450,000-500,000/=.

Dar es Salaam Lumumba na Tandamiti Junction.

Youtube wacheki Hans Agriculture au Hans Machinery kuona machine walizonazo.
0692 365926
Wewe ulipata kwa Sh ngapi?
 
Habari. Ulipata hii mashine. Kama bado naweza kukuunganisha na wauzaji Iringa. Bei zake Mara ya mwisho mwaka Jana ilikuwa Kati ya 270,000 mpaka 370,000.
Mkuu hao wa Iringa wanatengeneza wenyewe?

Naomba mawasiliano yao please
 
Back
Top Bottom