Ukipata nishtue mkuuHabari wanajukwaa,
Naomba kufahamishwa ninapoweza kupata hii mashine ya kupandia mbegu kama alizeti, ufuta, mahindi nk.
Seed Planter Video
Eneo nilipo ni Dar es salaam. Ni vyema zaidi tukafahamishana na gharama iwapo inajulikana.
View attachment 2068366
View attachment 2068367
Niliipata mkuu,Ukip
Ukipata nishtue mkuu
Mkuu tupe details za huko kama machine ni nzuri na gharama ni nafuu, inawezekana tukaagiza kutoka huko.Habari. Ulipata hii mashine. Kama bado naweza kukuunganisha na wauzaji Iringa. Bei zake Mara ya mwisho mwaka Jana ilikuwa Kati ya 270,000 mpaka 370,000.
Naamini ulishaijaribu.Niliipata mkuu,
Gharama kwa yenye kupanda mbegu peke yake ni 300,000-350,000/= na kwa yenye kupanda mbegu pamoja na kuweka mbolea ni 450,000-500,000/=.
Dar es Salaam Lumumba na Tandamiti Junction.
Youtube wacheki Hans Agriculture au Hans Machinery kuona machine walizonazo.
0692 365926
Wewe ulipata kwa Sh ngapi?Niliipata mkuu,
Gharama kwa yenye kupanda mbegu peke yake ni 300,000-350,000/= na kwa yenye kupanda mbegu pamoja na kuweka mbolea ni 450,000-500,000/=.
Dar es Salaam Lumumba na Tandamiti Junction.
Youtube wacheki Hans Agriculture au Hans Machinery kuona machine walizonazo.
0692 365926
Gharama zipo humohumo mpaka 370,000 za mbolea na mbeguMkuu tupe details za huko kama machine ni nzuri na gharama ni nafuu, inawezekana tukaagiza kutoka huko.
Mkuu weka mawasiliano ya hao wauzaji hapa kama hutajali.Gharama zipo humohumo mpaka 370,000 za mbolea na mbegu
Mkuu hao wa Iringa wanatengeneza wenyewe?Habari. Ulipata hii mashine. Kama bado naweza kukuunganisha na wauzaji Iringa. Bei zake Mara ya mwisho mwaka Jana ilikuwa Kati ya 270,000 mpaka 370,000.