N njinjo JF-Expert Member Joined Feb 15, 2019 Posts 4,001 Reaction score 5,374 Jan 2, 2021 #1 Wakuu, naomba kuelekezwa pahala ambapo naweza kununua mashine ya kupasua mbao. Hii iwe ni ya kuhamisha na kwa vyovyote vile isiwe inatumia umeme. Isiwe chainsaw maana inaharibu mbao.
Wakuu, naomba kuelekezwa pahala ambapo naweza kununua mashine ya kupasua mbao. Hii iwe ni ya kuhamisha na kwa vyovyote vile isiwe inatumia umeme. Isiwe chainsaw maana inaharibu mbao.
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 7,427 Reaction score 10,905 Jan 16, 2022 #2 Kumbe chainsaw inaharibu mbao!?