Natafuta mashine ya kusaga takataka "Biowaste crushing machine"

Natafuta mashine ya kusaga takataka "Biowaste crushing machine"

Victor Mlaki

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Posts
4,151
Reaction score
4,277
Wadau naomba mwenye mawasiliano na watu wanaouza mashine niliyoitaja naomba aniunganishe naye ili tufanye biashara.
Nipo Geita (Mbogwe).
 
Wadau naomba mwenye mawasiliano na watu wanaoweza mashine niliyoitaja naomba aniunganishe naye ili tufanye biashara.
Nipo Geita (Mbogwe).
Duh kuna jamaa ngoja nikuunganishe nae illa unataka upate product gani? Lami? Mafuta mazito au nini?? Ngoja nitafute mshkaji uwasiliane nae
 
Duh kuna jamaa ngoja nikuunganishe nae illa unataka upate product gani? Lami? Mafuta mazito au nini?? Ngoja nitafute mshkaji uwasiliane nae
Ni kwa ajili ya kulainisha taka zinazooza mfano matunda yaliyoharibika na nataka zilizoharibika ili kupata substrate kwa ajili ya kulishia Blacksoldier lavae "Buu wa nzi chuma"
 
Ahaaa...nilikuwa sijui ila si kuna haja ya kuibadili muundo mfano pa kutokea n.k
 
Back
Top Bottom