Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Duh kuna jamaa ngoja nikuunganishe nae illa unataka upate product gani? Lami? Mafuta mazito au nini?? Ngoja nitafute mshkaji uwasiliane naeWadau naomba mwenye mawasiliano na watu wanaoweza mashine niliyoitaja naomba aniunganishe naye ili tufanye biashara.
Nipo Geita (Mbogwe).
sales15@bestongroup.comDuh kuna jamaa ngoja nikuunganishe nae illa unataka upate product gani? Lami? Mafuta mazito au nini?? Ngoja nitafute mshkaji uwasiliane nae
Ni kwa ajili ya kulainisha taka zinazooza mfano matunda yaliyoharibika na nataka zilizoharibika ili kupata substrate kwa ajili ya kulishia Blacksoldier lavae "Buu wa nzi chuma"Duh kuna jamaa ngoja nikuunganishe nae illa unataka upate product gani? Lami? Mafuta mazito au nini?? Ngoja nitafute mshkaji uwasiliane nae
Masumbwe hio! Haina shida, check na huyo mchinaWadau naomba mwenye mawasiliano na watu wanaoweza mashine niliyoitaja naomba aniunganishe naye ili tufanye biashara.
Nipo Geita (Mbogwe).
All the best MpwaAsante nimeshamtumia mail SMS kwa email uliyotumia
Wadau naomba mwenye mawasiliano na watu wanaouza mashine niliyoitaja naomba aniunganishe naye ili tufanye biashara.
Nipo Geita (Mbogwe).
Ahaaa...nilikuwa sijui ila si kuna haja ya kuibadili muundo mfano pa kutokea n.k
Naam