Natafuta mashine ya kutengeneza soseji

Natafuta mashine ya kutengeneza soseji

Joined
Oct 12, 2014
Posts
78
Reaction score
48
Habarini,

Nilikuwa nahitaji kufahamishwa wanapouza mashine ya kutengeneza soseji au kama kuna mtu anaweza kutengeneza mashine ya soseji zile kama za kichina.

Nimeambatanisha na picha hapo chini

Screenshot_20210315-120205_AliExpress.jpg


Screenshot_20210315-122050_Chrome.jpg
 
Hiyo ni yakutengeneza Minced Meat (nyama ya kusaga)
Utahitaji Sausage Stuffer ya kujaza Hiyo nyama kwenye Utumbo.
 
Hiyo ni yakutengeneza Minced Meat (nyama ya kusaga)
Utahitaji Sausage Stuffer ya kujaza Hiyo nyama kwenye Utumbo.
Uko sahihi sana Mkuu ila badala ya kuongeza mzigo wa stuffer, waweza weka sausage nozzle kwenye discharge ya nyama iliosagwa

Thanks na wapi naweza kupata at a reasonable price
 
Back
Top Bottom