collinswilliam63 Member Joined Oct 12, 2014 Posts 78 Reaction score 48 Mar 31, 2021 #1 Habarini, Nilikuwa nahitaji kufahamishwa wanapouza mashine ya kutengeneza soseji au kama kuna mtu anaweza kutengeneza mashine ya soseji zile kama za kichina. Nimeambatanisha na picha hapo chini
Habarini, Nilikuwa nahitaji kufahamishwa wanapouza mashine ya kutengeneza soseji au kama kuna mtu anaweza kutengeneza mashine ya soseji zile kama za kichina. Nimeambatanisha na picha hapo chini
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,735 Reaction score 8,541 Mar 31, 2021 #2 Hiyo ni yakutengeneza Minced Meat (nyama ya kusaga) Utahitaji Sausage Stuffer ya kujaza Hiyo nyama kwenye Utumbo.
Hiyo ni yakutengeneza Minced Meat (nyama ya kusaga) Utahitaji Sausage Stuffer ya kujaza Hiyo nyama kwenye Utumbo.
collinswilliam63 Member Joined Oct 12, 2014 Posts 78 Reaction score 48 Mar 31, 2021 Thread starter #3 Kirchhoff said: Hiyo ni yakutengeneza Minced Meat (nyama ya kusaga) Utahitaji Sausage Stuffer ya kujaza Hiyo nyama kwenye Utumbo. Click to expand... Uko sahihi sana Mkuu ila badala ya kuongeza mzigo wa stuffer, waweza weka sausage nozzle kwenye discharge ya nyama iliosagwa Thanks na wapi naweza kupata at a reasonable price
Kirchhoff said: Hiyo ni yakutengeneza Minced Meat (nyama ya kusaga) Utahitaji Sausage Stuffer ya kujaza Hiyo nyama kwenye Utumbo. Click to expand... Uko sahihi sana Mkuu ila badala ya kuongeza mzigo wa stuffer, waweza weka sausage nozzle kwenye discharge ya nyama iliosagwa Thanks na wapi naweza kupata at a reasonable price
collinswilliam63 Member Joined Oct 12, 2014 Posts 78 Reaction score 48 Apr 1, 2021 Thread starter #4 Mwenye kujua
E EllySkyWilly JF-Expert Member Joined Aug 28, 2020 Posts 2,204 Reaction score 2,085 Apr 1, 2021 #5 Ni collinswilliam63 said: Mwenye kujua Click to expand... Ni bora ungetuma picha yote