Natafuta mashine ya Utambuzi wa pesa(noti)

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Wadau habari za mchana wa leo?

Ninahitaji kununua mashine (portable) ka ajili ya utambuzi wa noti hasa US Dollars.

Kwa mtu aliyonayo AU anayejua wapi ninaweza kupata,tafadhali anijulishe kwa kujibu hapa jukwaani au aniPM.

Pia sio vibaya kama nikipata na bei yake inayouzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…