Natafuta Mashine za kufulia Nguo

Natafuta Mashine za kufulia Nguo

BintiTee

New Member
Joined
Mar 3, 2022
Posts
3
Reaction score
1
Salamu Jf family

Natafuta mashine za kufulia nguo na kukausha kwaajili ya biashara,kuanzia 12kg na ziwe zile za kufungukia pembeni na zenye sehemu ya kuweka sarafu.Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi tafadhali ni PM

Shukrani.
 
Back
Top Bottom