BintiTee New Member Joined Mar 3, 2022 Posts 3 Reaction score 1 Apr 5, 2022 #1 Salamu Jf family Natafuta mashine za kufulia nguo na kukausha kwaajili ya biashara,kuanzia 12kg na ziwe zile za kufungukia pembeni na zenye sehemu ya kuweka sarafu.Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi tafadhali ni PM Shukrani.
Salamu Jf family Natafuta mashine za kufulia nguo na kukausha kwaajili ya biashara,kuanzia 12kg na ziwe zile za kufungukia pembeni na zenye sehemu ya kuweka sarafu.Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi tafadhali ni PM Shukrani.