Natafuta mashudu ya Alizeti kwa bei ya jumla

Kwa yeyote anaye hitaji mashudu piga simu namba ☎️+255 777 107 897.
 
Mashudu ya alizeti yanauzwa 850 kwa kilo Tarime.
 
Mimi ninayo mashudu ya alizeti nauza 500 kwa kilo nipo Morogoro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…