Johnyy
Member
- Dec 21, 2018
- 93
- 39
Hlw wana jf, natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa nafasi ya uhai, mimi ni kijana mkulima wa papai za kisasa mbegu ya karina na malkia miche 400 shamba lipo Tanita Kibaha.
Kwa mawasiliano waweza nichek Whatsapp au kunipigia kwa namba 0686301689 mbarikiwe sana
Kwa mawasiliano waweza nichek Whatsapp au kunipigia kwa namba 0686301689 mbarikiwe sana