Natafuta masoko ya Nafaka mikoani

guzman_

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2016
Posts
1,268
Reaction score
2,330
Wakuu habari.

Katika kujiongeza nataka nianze biashara ya kununua nafaka hasa mahindi, mpunga na maharage na kuja kuuza kwa jumla Dar. Naombeni mwongozo kwa anayejua masoko makubwa nayo weza nunua mzigo mkubwa kwa mara moja. NB naona kwenda moja kwa moja kwa wakulima itanichukua muda kwa hiyo ningependelea masoko yale naweza kwenda nunua tani kazaa na kusafirisha

Mfano:
Dodoma - Kibaigwa

Ningependelea mikoa ya kusini na kati mfano Ruvuma, Njombe, Mbeya, Iringa, Rukwa, Dodoma, hata Tabora au Shinyanga.
 
Mpunga njoo Mwanza Nina tani 5 za mpunga mpya.
 
Huwezi kupata sehemu ya kununua mpunga kiurahisi tanzania labda mchele ifakara,mbeya n.k
Mbeya kuna masoko yanauza kwa jumla au lazima uende kwa jamaa wenye mashine za kukoboa mpunga.
 
Hii lazima uwe na dalali wa kukukusanyia mzigo, huwez pata mzigo mkubwa direct toka kwa mkulima.
 
Nipatie namba yako mdau hapa mahindi 50000 junia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…