Natafuta masoko ya peanut butter

benesigalla

New Member
Joined
Apr 4, 2024
Posts
2
Reaction score
5
Habari wanajamvi, nipo katika harakati za kutafuta masoko ya peanut butter natengeneza peanut butter za organic (isiyo na mchanganyiko wowote) ya chumvi na ya asali shida ni masoko napatikana Mbeya kwa namba 0613070778 msaada wa kuniunganisha na wauzaji
 
Anza kufosi kupata wateja wenye mahoteli makubwa zanzibar. Kule utatoboa mapema sana ukilikamata vizur soko
 
Ukipata pia shule za bweni, wanafunzi wanatumia sana peanut..... Kama utaweza zaidi unaongea na matron au patron yeye ndo anakutafutia hao wateja, utauza.

Kila laheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…