Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana Jf naomba mnisaidie link ambayo nitapata kununua used tractor na ku import hapa Tz.Nimejaribu ebay lakini wengi wanataka local picking up hawana mpango wa shipping.
Nisaidieni.
Ni PM mkuuWakuu,
Nipe details na mahitaji yako (preferably ni PM), naweza kusaidia.
Siku njema.
Wana Jf naomba mnisaidie link ambayo nitapata kununua used tractor na ku import hapa Tz.Nimejaribu ebay lakini wengi wanataka local picking up hawana mpango wa shipping.
Nisaidieni.