Natafuta matairi bora

Natafuta matairi bora

Forecaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
201
Reaction score
116
Wakuu nahitaji kununua matairi ya gari ni yapi yaliyo Bora Kwa uimara. Mimi ninafikiria Bridgestone but kuna mengine yenye caliber ya Bridgestone na bei ipo chini kigodo! Mwawazo yenu ktk hili
 
Kama gari kubwa funga MICHELIN zote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Gharama kama unanunua kichwa cha semi mpya.
 
Back
Top Bottom