Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Jamani eeh mwenzenu natafuta maua tena yale yalokwisha chanua au yanayokaribia kuchanua.
Nisaidieni ndugu zangu wana MMU. Bila maua kwangu hakuna maisha.
Mmmh!! Mbona umeifumba sana Pls iweke waz kidogo ili nikusaidie maua gani unayotafuta??!! Wengine ha2jui ushairi!!
Unajua aina gani ya maua?
maua ya makaburini?ya kumpelekea mgonjwa au ya kupamba sebule?
dadavua nkusaidie kev wangu!!
Maua ya kupamba sebule, ya nje kwenye landscapping, na mengine ambayo yanapendeza machoni mwa mtazamaji....
Eleza uko wapi tukuletee landscape designer
Au kama nini humu JF kuna mawaridi na maua mengine ya kutosha, sema nao
Wewe ni ua gani? La mzeituni?
Kama kufananisha na ua basi ni la mpilipili.
JF kweli pana visa...... Mtu unajikuta unaongea na a ghost of a ghost
Pole dada wote ma ghost humu...tehtehteh...
poaMaua ya kupamba sebule, ya nje kwenye landscapping, na mengine ambayo yanapendeza machoni mwa mtazamaji....
apananoooooo m nt ghost.Pole dada wote ma ghost humu...tehtehteh...
poa
upo wap sasa?
km karibu nenda apo namanga,hsby au kule sayansi....km upo mawashngton dc mi sjui uko....au ndo haus mpya?
km ivo wachek nanii apo kawe sjui mbez bich watakwambia..
dah kumbe ni apo tu
fanya utaratibu kwenda izo place....
ah mi saizi nataka kwenda gym kdg apo bmk moroko kuruka ruka kdg babuTwen'zetu unsindikize bac