Natafuta mawakili mahiri wa kujitegemea wawili, nataka kuishtaki bodi ya mikopo

Head teacher

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
1,796
Reaction score
412
Kuna ubabaishaji bodi ya mikopo, nahitaji mawakili wawili nguli wa kusimamia kesi ninayoenda kuifungua mahakama kuu kitengo cha biashara. malipo ya kesi ni ya mdaiwa. naomba tuwasiliane kwa 0755923374 ili tuone namna ya kuitengeneza kesi na ushahidi. naomba kuwakilisha
 
nenda jengo la ushirika au posta ndio wapo mawakili wakumwaga ndugu..
 


Hapo kwenye red hamna kitu kama hicho.
 
Kuna ubabaishaji bodi ya mikopo, nahitaji mawakili wawili nguli wa kusimamia kesi ninayoenda kuifungua mahakama kuu kitengo cha biashara

Ulifanya biashara na bodi ya mikopo? Kwa Nini wakubabaishe wakati umefanya nao biashara inayoeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…