Natafuta mawinga wanaouza simu (smartphones na simu vitochi originals)

Natafuta mawinga wanaouza simu (smartphones na simu vitochi originals)

Mzee Kimamingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2024
Posts
1,861
Reaction score
4,462
Habarini wana jamvi.

Katika harakati za maisha nimeamua kufungua biashara (Chimbo) ya kuuza simu jumla na rejareja kutoka Dubai na China. Duka linapatikana mtaa za Aggrey na Masasi Kariakoo.

Naomba kufanya kazi na mawinga waaminifu wao nitawauzia kwa bei nzuri tu na hata akimleta mteja kwa bei yake mimi nitakuwa mwaminifu pia.

Return zenye damage ilete tuna solve ila usitoe sticker
Kwa mawasiliano

Whatsap - 0659- 542618
Piga - 0620- 196643
 
Simu hii unaiuzaje, infinix hii
 
Attachments

  • 20240902_111208.jpg
    20240902_111208.jpg
    1 MB · Views: 13
Njoo whatsap boss
kuna haja gan kuweka tangazo public afu bei unaita mtu PM? nashauri na tangazo lako ulipeleke PM

jifunze kwny thread za wafanyabiashara humu, hakuna anaeita mtu PM kumtajia bei, mtu anapost bidhaa, bei, location& full description
 
Wewe unahitaji nini Boss?
 
Karibuni Hizo ni baadhi ya Simu tulizonazo Dukani.
 
Attachments

  • Screenshot_20240917-175955_Instagram.jpg
    Screenshot_20240917-175955_Instagram.jpg
    280 KB · Views: 16
  • 20240917_175652.jpg
    20240917_175652.jpg
    110.6 KB · Views: 13
Ukishakuwa mfanya biashara epuka mambo ya njoo whatsap unaonekana kama mbabaishaji,una duka unashindwa nini kutaja bei hapahapa,yaani niulizie bei na bado nikufate whatsap?whatsap tunakuja kubagain ama?be serious
Sawa Boss.
Nimekuelewa
 
Back
Top Bottom