Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Pamoja sana...KaribuSalama chief, mimi sio winga lakini nitakuja kununua simu kwako.
Na save namba.
Vioo bado sijaleta ila nipo mbioni.mimi nataka kioo cha Samsung s9 plus na twenty
Njoo whatsap bossSimu hii unaiuzaje, infinix hii
Winga anayejua kazi hawezi ulizia bei akataka ajibiwe apa public.Mambo ya njoo PM au whatsap!!
Bora hata tangazo lako ungeweka uko uko!!
All the best
kuna haja gan kuweka tangazo public afu bei unaita mtu PM? nashauri na tangazo lako ulipeleke PMNjoo whatsap boss
Wewe unahitaji nini Boss?kuna haja gan kuweka tangazo public afu bei unaita mtu PM? nashauri na tangazo lako ulipeleke PM
jifunze kwny thread za wafanyabiashara humu, hakuna anaeita mtu PM kumtajia bei, mtu anapost bidhaa, bei, location& full description
Sawa nimewaelewa.Mambo ya PM ya nini wakati Tangazo umelitoa hapa. Huko ni kutojiamini
Ukishakuwa mfanya biashara epuka mambo ya njoo whatsap unaonekana kama mbabaishaji,una duka unashindwa nini kutaja bei hapahapa,yaani niulizie bei na bado nikufate whatsap?whatsap tunakuja kubagain ama?be seriousNjoo whatsap boss
Sawa Boss.Ukishakuwa mfanya biashara epuka mambo ya njoo whatsap unaonekana kama mbabaishaji,una duka unashindwa nini kutaja bei hapahapa,yaani niulizie bei na bado nikufate whatsap?whatsap tunakuja kubagain ama?be serious