Natafuta Mayai ya Kienyeji

Natafuta Mayai ya Kienyeji

Spliffcharm

Senior Member
Joined
Jun 21, 2020
Posts
136
Reaction score
370
Wana JF kwema?

Nahitaji supplier wa Mayai ya Kienyeji pure kabisa ya jumla.
Offer price ni 12,000Tshs kwa trei moja.
Naweza kuchukua mpaka tray mia +.

Napatikana Dar es salaam.

Aliye serious anicheck Inbox tufanye biashara.

Ahsante.

images%20(2).jpg
 
Yapo mengi shida hili jukwaaa kupigwa ni asubuhi na mapema! Karibun sana
 
Back
Top Bottom