Liston Cosmas
Member
- Mar 4, 2015
- 12
- 11
Upo wapi nicheki inbox!!Habari zenu waheshimiwa,
Naomba kuuliza kama kuna yeyote anajua mahali pa uhakika ambapo nitaweza kupata mayai ya kisasa kwa bei ya jumla. Ntakua nachukua tray za kutosha.
Shukran sana wakuu!
Unapatikana wapiNa mimi nahitaji pia
KibahaUnapatikana wapi
Broo! Hi! VP mayai ya kisasa bado yanapatikana.? NahitajiUpo wapi nicheki inbox!!