Natafuta mayai ya kisasa

Natafuta mayai ya kisasa

Fahad mayai

Member
Joined
Dec 17, 2019
Posts
27
Reaction score
11
Natafuta mayai ya kisasa kwa wakazi wa Dar au maeneo ya karibu na Dar, yawe hayajakaa muda mrefu na size iwe nzuri.

Shamba nafata mwenyewe bei ya mfugaji sitaki wauzaji wa jumla, mfugaji awe na tray kuanzia 300 kwenda juu.

Mawasiliano ; 0625602775
 
Back
Top Bottom