Fahad mayai Member Joined Dec 17, 2019 Posts 27 Reaction score 11 May 15, 2020 #1 Natafuta mayai ya kisasa kwa wakazi wa Dar au maeneo ya karibu na Dar, yawe hayajakaa muda mrefu na size iwe nzuri. Shamba nafata mwenyewe bei ya mfugaji sitaki wauzaji wa jumla, mfugaji awe na tray kuanzia 300 kwenda juu. Mawasiliano ; 0625602775
Natafuta mayai ya kisasa kwa wakazi wa Dar au maeneo ya karibu na Dar, yawe hayajakaa muda mrefu na size iwe nzuri. Shamba nafata mwenyewe bei ya mfugaji sitaki wauzaji wa jumla, mfugaji awe na tray kuanzia 300 kwenda juu. Mawasiliano ; 0625602775