Natafuta Mayai ya kisasa

Natafuta Mayai ya kisasa

Ngatunga1

New Member
Joined
Nov 10, 2019
Posts
4
Reaction score
0
Nahitaji mfugaji anayeweza kuzalisha mayai zaidi ya trei 100 kwa wiki.
Nanunua trei 100 kila wiki.

Bei isizidi 6000/= kwa trei moja.

Mawasiliano:call/whatsapp 0674574112.
Email: ngatungaa37@gmail.com
 
Huwezi kupata kwa bei hyo naongea kama mzoefu kwenye hyo tasnia kwa muda sasa,
Ukizingatia mfumuko wa bei ya bidhaa kwa sasa na kama itatokea basi ni madogo au kwa muda mfupi na baadae bei ipandishwe zaidi.
 
Back
Top Bottom