Ngatunga1 New Member Joined Nov 10, 2019 Posts 4 Reaction score 0 May 22, 2022 #1 Nahitaji mfugaji anayeweza kuzalisha mayai zaidi ya trei 100 kwa wiki. Nanunua trei 100 kila wiki. Bei isizidi 6000/= kwa trei moja. Mawasiliano:call/whatsapp 0674574112. Email: ngatungaa37@gmail.com
Nahitaji mfugaji anayeweza kuzalisha mayai zaidi ya trei 100 kwa wiki. Nanunua trei 100 kila wiki. Bei isizidi 6000/= kwa trei moja. Mawasiliano:call/whatsapp 0674574112. Email: ngatungaa37@gmail.com
Manwambele Senior Member Joined Jan 4, 2016 Posts 110 Reaction score 172 May 22, 2022 #2 Huwezi kupata kwa bei hyo naongea kama mzoefu kwenye hyo tasnia kwa muda sasa, Ukizingatia mfumuko wa bei ya bidhaa kwa sasa na kama itatokea basi ni madogo au kwa muda mfupi na baadae bei ipandishwe zaidi.
Huwezi kupata kwa bei hyo naongea kama mzoefu kwenye hyo tasnia kwa muda sasa, Ukizingatia mfumuko wa bei ya bidhaa kwa sasa na kama itatokea basi ni madogo au kwa muda mfupi na baadae bei ipandishwe zaidi.
Donald Marcus Hemu JF-Expert Member Joined May 14, 2019 Posts 372 Reaction score 535 May 25, 2022 #3 Ulivyotaja Bei mwisho 6000 nikaona kabisa hiyo biashara siwezi ifanya mkuu
mwakyindi JF-Expert Member Joined May 7, 2018 Posts 1,599 Reaction score 2,192 May 25, 2022 #4 Ngatunga1 said: Nahitaji mfugaji anayeweza kuzalisha mayai zaidi ya trei 100 kwa wiki. Nanunua trei 100 kila wiki. Bei isizidi 6000/= kwa trei moja. Mawasiliano:call/whatsapp 0674574112. Email: ngatungaa37@gmail.com Click to expand... unauwakika uliyapoteza umu
Ngatunga1 said: Nahitaji mfugaji anayeweza kuzalisha mayai zaidi ya trei 100 kwa wiki. Nanunua trei 100 kila wiki. Bei isizidi 6000/= kwa trei moja. Mawasiliano:call/whatsapp 0674574112. Email: ngatungaa37@gmail.com Click to expand... unauwakika uliyapoteza umu
Ngatunga1 New Member Joined Nov 10, 2019 Posts 4 Reaction score 0 May 26, 2022 Thread starter #5 Donald Marcus Hemu said: Ulivyotaja Bei mwisho 6000 nikaona kabisa hiyo biashara siwezi ifanya mkuu Click to expand... Wewe unayo kwa bei gani?
Donald Marcus Hemu said: Ulivyotaja Bei mwisho 6000 nikaona kabisa hiyo biashara siwezi ifanya mkuu Click to expand... Wewe unayo kwa bei gani?
Donald Marcus Hemu JF-Expert Member Joined May 14, 2019 Posts 372 Reaction score 535 May 26, 2022 #6 Ngatunga1 said: Wewe unayo kwa bei gani? Click to expand... bei yangu trei 7500 nakufikishia ulipo