Natafuta mayai ya kuku wa kizungu

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Una mayai ya kuku wa kizungu? nipe bei na unapopatikana nipo vingunguti... 0714 045 080.
 
Kwa mayai ya kizungu na vifaranga kuku chotara na kienyeji Arusha Maji ya Chai piga simu 0753087713
 
Ukitaka wa kichina.nicheki
 
jamani mimi nimeweka uzi kwamba nahitaji mayai jamaa kanipigia ananiuliza mayai yapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…