Natafuta mayai ya kuku wa Malawi ya kutotolesha

Natafuta mayai ya kuku wa Malawi ya kutotolesha

Lugulu

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
482
Reaction score
175
Heshima kwenu... Natafuta mayai ya kuku wa malawi ya kutotolesha... Nahitaji tray 12... Nipo Rufiji, mwenye nayo tafadhali tuwasiliane.
 
Heshima kwenu... Natafuta mayai ya kuku wa malawi ya kutotolesha... Nahitaji tray 12... Nipo Rufiji, mwenye nayo tafadhali tuwasiliane.

mkuu kwema!!!!
naomba unijuze hivi hii mbegu ndio chotara namaanisha mchanganyiko wa kienyeji na kisasa maana nataka nianze kuwafuga kwa mara ya kwanza,
pia je ni wale wenye umbo kubwa na vipi utagaji wake?
asante kwa majibu yako
 
Back
Top Bottom