L Lugulu JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 482 Reaction score 175 Aug 28, 2015 #1 Heshima kwenu... Natafuta mayai ya kuku wa malawi ya kutotolesha... Nahitaji tray 12... Nipo Rufiji, mwenye nayo tafadhali tuwasiliane.
Heshima kwenu... Natafuta mayai ya kuku wa malawi ya kutotolesha... Nahitaji tray 12... Nipo Rufiji, mwenye nayo tafadhali tuwasiliane.
mbota JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,054 Reaction score 585 Sep 2, 2015 #2 Lugulu said: Heshima kwenu... Natafuta mayai ya kuku wa malawi ya kutotolesha... Nahitaji tray 12... Nipo Rufiji, mwenye nayo tafadhali tuwasiliane. Click to expand... mkuu kwema!!!! naomba unijuze hivi hii mbegu ndio chotara namaanisha mchanganyiko wa kienyeji na kisasa maana nataka nianze kuwafuga kwa mara ya kwanza, pia je ni wale wenye umbo kubwa na vipi utagaji wake? asante kwa majibu yako
Lugulu said: Heshima kwenu... Natafuta mayai ya kuku wa malawi ya kutotolesha... Nahitaji tray 12... Nipo Rufiji, mwenye nayo tafadhali tuwasiliane. Click to expand... mkuu kwema!!!! naomba unijuze hivi hii mbegu ndio chotara namaanisha mchanganyiko wa kienyeji na kisasa maana nataka nianze kuwafuga kwa mara ya kwanza, pia je ni wale wenye umbo kubwa na vipi utagaji wake? asante kwa majibu yako