Natafuta mayai ya kwale

Natafuta mayai ya kwale

chawa wa mama

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2020
Posts
292
Reaction score
1,084
Ndugu zangu natafuta mayai ya kwale ambayo yanafaa kutotolesha.

karibu mwenye taarifa yoyote
 
Mayai ya Kwale tena!

Subiri hapahapa! Wauzaji wanakuja.
 
Weka bei na idadi unayotaka niingie chaka sasa hivi
 
@Eiqutable nitanunua kwa elfu 15 kwa trei moja, lakini ni fertile. Yanatakiwa yale ambayo mtu amekusanya kwenye shamba lake, sio kuokoteza yaliyopita muda. Hayana ubora
 
Hii bizness imerudu tena? Ilipata umaarufu sana humu miaka kama sita nyuma
 
hapana ndugu #kawori, sio kama upepo umerudi tena. Nataka tu nifuge hawa ndege for personal interest
 
@Eiqutable nitanunua kwa elfu 15 kwa trei moja, lakini ni fertile. Yanatakiwa yale ambayo mtu amekusanya kwenye shamba lake, sio kuokoteza yaliyopita muda. Hayana ubora
Ulikosea jina langu ndo maana sijapata taarifa.
Sawa mkuu
 
Enzi Tuliambiwa Yanaongeza CD4 Hasa Ukila Maganda Yake
 
Back
Top Bottom