chawa wa mama
JF-Expert Member
- Jun 8, 2020
- 292
- 1,084
Ulikosea jina langu ndo maana sijapata taarifa.@Eiqutable nitanunua kwa elfu 15 kwa trei moja, lakini ni fertile. Yanatakiwa yale ambayo mtu amekusanya kwenye shamba lake, sio kuokoteza yaliyopita muda. Hayana ubora
Una kazi gani?Mkuu hununui na mkojo wa sungura