Natafuta Mbao

MABAGHEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
682
Reaction score
126
Natafuta mbao ambazo zimeshatumika 2*4 pcs 100 na 1*8 au 1*10 pcs 60. Maeneo ya Mbezi beach, Tegeta, ubungo na Mbezi Mbezi Morogoro road. Piga au sms 0754692008.
 
Mbao zilizotumika uwa zinakodishwa Kariakoo kwa wale wanaojenga maghorofa. Jaribu kuwaona ukikuta sehemu wanajenga ulizia watsakuelekeza bila tatizo inapunguza sana gharama za ujenzi mimi nilitumia mbao used kwa kuzikodi kwa bei kidogo na nilipomaliza kazi nikazirudisha kwa wenyewe
 
mimi ninazo mbao lakini kwa ajili ya kupeleka nje ya nchi

natafuta soko

Hata kama mteja wa ndani atatoa dau kubwa? Natafuta teak kama unaweza kupata ni PM nitakuunganisha na wateja wa nje wazungu tena wa ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…