Hizo mbaazi nyeupe kwa Dar naweza kupata wapi? Nataka kulima chache za kula na kugawa kwa ndugu wa karibuAsa umeenda?
Ukikosa na kwa hao jamaa. Inabidi uende kwa wakulima sasa. Manyara na Kibaigwa huwezi kosa hiyo mbegu. Hakikisha ni mbaazi nyeupe ndo yenye bei nzuri sokoni
Nenda sokoniHizo mbaazi nyeupe kwa Dar naweza kupata wapi? Nataka kulima chache za kula na kugawa kwa ndugu wa karibu
Mbegu bora zinapatikana kwenye maduka ya pembejeo. Humu kuna watu wana uzoefu ndio maana nimeuliza ili nipate wanapouza specificallyNenda sokoni
Samahani kama jibu limekukwaza la kukuambia uende sokoni. Ila kama umefuatilia huu mjadala utaona sehemu zote wanazo andaa na kuuza hiyo mbegu hawana. Na kwa kua wewe unahitaji kupanda za kula tu na si kibiashara. Hata zinazo uzwa sokoni zinafaa vizuri tuMbegu bora zinapatikana kwenye maduka ya pembejeo. Humu kuna watu wana uzoefu ndio maana nimeuliza ili nipate wanapouza specifically
Hujanikwaza ndugu yangu na hata hivyo jibu lako limenisaidia sana maana nitanunua za sokoni kwa kesho na kuzipanda wiki hii shambani. Naendelea kutafuta mbegu bora ila hizo za sokoni nitazifuatilia ukuaji wake pia zikiota vizuri naendelea nazoSamahani kama jibu limekukwaza la kukuambia uende sokoni. Ila kama umefuatilia huu mjadala utaona sehemu zote wanazo andaa na kuuza hiyo mbegu hawana. Na kwa kua wewe unahitaji kupanda za kula tu na si kibiashara. Hata zinazo uzwa sokoni zinafaa vizuri tu
Kama unaweza kufika mpaka Kilosa huwezi kushindwa kufika Morogoro. Nenda ASA pale Morogoro ndicho kiwanda chaWanabodi, salaam! Wapi nitapata mbegu bora ya kisasa ya mbaazi? Nimepita maduka mbalimbali ya mbegu, nimekosa. Nimeenda hadi TARI-Ilonga, Kilosa (Taasisi ya serikali ya kuzalisha mbegu) nimekosa pia. Mbegu ninayoihitaji ni ile mbegu ya muda mfupi
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Nimetoka ASA leo hii, hiyo mbegu hawana pale. Wamejaza mbegu za mpunga na alizeti za kutoshaKama unaweza kufika mpaka Kilosa huwezi kushindwa kufika Morogoro. Nenda ASA pale Morogoro ndicho kiwanda cha
kufungasha mbegu kwa Tanzania. Wana mbegu za kila aina!
Duh, basi kazi ipo! Hawajui hata strategic crops? Bure kabisa!Nimetoka ASA leo hii, hiyo mbegu hawana pale. Wamejaza mbegu za mpunga na alizeti za kutosha
Mkuu blacksamurai nashukuru sana. ASA wapo wapi? Kama una contact zao naomba. Nashukuru sana kwa ushauri wako wa mbegu nyeupeAsa umeenda?
Ukikosa na kwa hao jamaa. Inabidi uende kwa wakulima sasa. Manyara na Kibaigwa huwezi kosa hiyo mbegu. Hakikisha ni mbaazi nyeupe ndo yenye bei nzuri sokoni