Natafuta mbegu bora ya mpunga (F1)

Natafuta mbegu bora ya mpunga (F1)

Mkulima Mkulima

New Member
Joined
Sep 11, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Habarini wana jukwaa.
Wanajukwaa naombeni msaada, mimi natafuta mbegu bora ya mpunga (iliyonzuri kibiashara).
Naomba mnisaidie kujua ni kampuni lipi linazalisha, libapatina wapi na mawasiliano yake.
pili, nakaribisha mtu yeyote mwenye ufahamu na ushauri juu ya mbegu ipi ya mpunga ni nzuri sana kibiashara.
Napatikana Morogoro.
Asanteni.
 
mkuu nami Nina wazo la kuingia huko mipungani morogoro vp heka inakodishwa kwa Bei gani? na ni Maeneo gani hasa?
 
Back
Top Bottom