Habari za asubuhi wanajamvi, mimi ni kijana niliyeamua kujikita katika ufugaji kama njia mbadala ya kujiongezea kipato.
Nilianza na nguruwe 6 ambao wanaendelea vizur (wale wenye mabaka meusi).
Naomba kwa yeyote anayefaham n wap maeneo ya Njombe naweza pata mbegu bora za nguruwe hasa wale weupe, na Ngombe wa maziwa pia anijulishe.