Mkuu, unafahamu vp kuhusu ugonjwa wa migomba ambao umeingia sasa iv, pia na hiyo migomba ambayo unayo haijaadhiliwa? Na kma bado ni resistanceNichek Pm mkuu,offer ya mche wa red indian ipo.Kama uko Moro nakuletea mpaka mlangoni
ungekuwa na picture ya mche uliopata ugonjwa ingekuwa rahisi kukupa majibu mkuu.Mkuu, unafahamu vp kuhusu ugonjwa wa migomba ambao umeingia sasa iv, pia na hiyo migomba ambayo unayo haijaadhiliwa? Na kma bado ni resistance
Sent from my SM-G920V using JamiiForums mobile app
Shukuran sana nitawasiliana na wewe mkuu baada ya mwaka mpya TUKIJALIWAKaribu tukuhudumie mkuu, niko SUA Horticulture. Tuna miche ya matunda lakini pia migomba ipo, bei ya mche ni sh 3500 lakini ukichukua kuanzia miche 50 bei ni sh 2500.
Gharama za usafiri kutoka Moro-Dar kwa pacel moja ni sh 13000. Ambapo pacel moja inakuwa na miche isiyozidi 50.
Mchanganuo wa nauli
3000- ni nauli ya boda kutoka SUA mpaka Msamvu
1000- Kitorori ndani ya stend
11000- nauli Moro-Dar
Namba zangu 0719527062/0757056472 karibu Pm pia kwa maswali na maelezo zaidi
Tuombe Mungu atupe uhai na uzima tuuone Mwaka mpya.Karibu sana mkuuShukuran sana nitawasiliana na wewe mkuu baada ya mwaka mpya TUKIJALIWA
Yeah shukran sana mkuu
Wajumbe natumaini hamjambo.
Naomba kwa yeyote anayejua namna ya kupata mbegu nzuri ya migomba kwa maeneo ya karibu ndani ya jiji hili la DAR
Mahitaji yangu sio makubwa kama 100 hadi 200 kwa kuanzia. Ziwe za kupika na kuivisha pia.
Pia sasa hivi kuna ugonjwa umeingia kwenye migomba sijajua ni ugonjwa gani, upo sana maeneo ya Dar huko sijui unafahamu hilo mkuu?
Shukrani sana mkuu bahati mbaya aina zilizo nzuri sizijui kwa majina labda kama kuna yeyote humu anayejua majina anisaidie baadhi ni kama SHAKALA , WILLIAM, FHIA 17, MZUZU