Habari wadau. Nahitaji kupanda michongoma kama fensi kuzunguka eneo langu la kama ekari moja na nusu hivi.
Eneo liko mlandizi kama kuna mtu ana mbegu au miche naomba tuwasuliane pia naomba maoni ya namna Bora ya kupanda hii kama fensi.
Pia kama kuna mtu anajihusisha na haya mambo yuko tayari kufanya kazi ya kupanda Kwa malipo tuwasuliane.