Natafuta mbegu ya nyanya aina ya Gama

Natafuta mbegu ya nyanya aina ya Gama

mzabhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
261
Reaction score
279
Kama mada inavosema natafuta mbegu ya nyanya aina ya Gama.
Location: nipo mbeya
 
Kama una akaunti ya Facebook ingia akaunti ya 'Rijk Zwaan Tanzania"utaona mawasiliano ya wawakilishi wa hiyo kampuni inayozalisha hizo mbegu zinaitwa Gamhar
 
Kama una akaunti ya Facebook ingia akaunti ya 'Rijk Zwaan Tanzania"utaona mawasiliano ya wawakilishi wa hiyo kampuni inayozalisha hizo mbegu zinaitwa Gamhar
Shukran mkuu wacha nimtafute
 
Back
Top Bottom