Natafuta mbegu ya Samaki (Perege) na Kambale

Natafuta mbegu ya Samaki (Perege) na Kambale

Kijastibikoz

Member
Joined
May 12, 2015
Posts
6
Reaction score
0
Nipo Dar, nahitaji mbegu kwa ajili ya kufuga samaki, natafuta mbegu ya samaki na kambale, nitawapata wapi na ni bei gani??

Nisaidieni wadau
 
Back
Top Bottom