Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Bei gani kwa kilo?Natafuta mbegu za maboga kiasi cha tani moja
Kwa mwenye nazo au anajua napoweza kupata msaada tafadhali
Nasubiria jibuBei gani kwa kilo?
Kama unayo sema ili tuongee biasharaBei gani kwa kilo?
Hamna mtu anayo usichoshe watu maana hayo maboga yakupata tani moja mtu siatakuwa chizi kwa kulima maelfu ya maheka hukoKama unayo sema ili tuongee biashara
Kaka njoo nikuuzie mbegu za maboga kwa bei nzuri, nipe no nikuchekNatafuta mbegu za maboga kiasi cha tani moja
Kwa mwenye nazo au anajua napoweza kupata msaada tafadhali
Unauzaje kilo moja?Kaka njoo nikuuzie mbegu za maboga kwa bei nzuri, nipe no nikuchek
Unauzaje kilo moja?
zipo, unataka kiasi gani na uko wapiWe unazo?
Nipo dsm mzigo upo mkoani 8000tsh kwa 1kg kama upo serious fanya tuwasilianeNatafuta mbegu za maboga kiasi cha tani moja
Kwa mwenye nazo au anajua napoweza kupata msaada tafadhali