Natafuta Mbegu za miti ya matunda mbalimbali

Steven Nguma

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2016
Posts
1,074
Reaction score
1,147
Habarini za kutwa, samahani naomba kuuliza. Kuna siku niliona tangazo humu la kuhusu mbegu za miti ya matunda mbali mbali. Muuzaji alisema yupo Morogoro, nilijaribu kuwapigia simu lakini bahati mbaya sikuhifadhi namba yao. Mwenye kumbukumbu naomba msaada tafadhali.
 
Unadaka matunda gani? Nenda SUA, utazikimbia mwenyewe! Utake miembe, mapera, michungwa ile migupi, mapapai n.k.
 
Habarini za kutwa, samahani naomba kuuliza. Kuna siku niliona tangazo humu la kuhusu mbegu za miti ya matunda mbali mbali. Muuzaji alisema yupo Morogoro, nilijaribu kuwapigia simu lakini bahati mbaya sikuhifadhi namba yao. Mwenye kumbukumbu naomba msaada tafadhali.
SUA SUA SUA....!!! Hapo ndipo utapata miche ambayo ni True to type!!
 
Back
Top Bottom