Natafuta Mbegu za Vibuyu kwa ajili ya Kilimo

Fred Katulanda

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
380
Reaction score
550
Zinahitajika haraka, mbegu za Vibuyu (Calabash Seeds) siyo Maboga, nasisitiza Kibuyu, hivyo kwa yeyote mwenye nazo au anayemfahamu aliyenazo awasiliane na What's App/Simu +255622 642620.

Ushauri, mawazo au maelekezo kuhusu upatikanaji wake pia unapolelewa.
 
Vibuyu Mkuu unafanyia nini

Mwisho kuona kwenye mashamba ya wasukuma Mkoa wa Tabora

Nilikuwa natafuta kwa ajili ya mbadala wa vichali vya ndege
 
Vibuyu Mkuu unafanyia nini
Mwisho kuona kwenye mashamba ya wasukuma Mkoa wa Tabora
Nilikuwa natafuta kwa ajili ya mbadala wa vichali vya ndege
Lengo la uzi huu tupate mbegu, kuzifanyia nini kwa sasa nimeeleza nahitaji kulima vibuyu.
 
Kibuyu kama kibuyu au ze longoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…