Natafuta mbia wa kusafirisha naye tikiti kupeleka Nairobi/Zanzibar

Natafuta mbia wa kusafirisha naye tikiti kupeleka Nairobi/Zanzibar

Jenseny

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2011
Posts
1,743
Reaction score
1,738
Kama nlivyosema ni mkulima lakini pia ninaweza kuwa dalali kwa huu muda ninaosubiria kuvuna nahitaji mtu mwenye interest ya kuwekeza kwenye uchuuzi wa matikiti kupeleka Nairobi au Zanzibar

sifa
awe na mtaji kuanzia mill 1
awe anaweza kufanya kazi kwenye mazingira yyte
awe na passport au awe ameshawahi kufika hata Unguja
awe mwelewa aelewe kuwa kila biashara ina faida na hasara zake


Faida za kuwa mbia na me Matikiti ya kwanza tutauza ya kwangu nliyolima so mtaji wa kwanza utakaotupa xperience ni wangu

kwa maelezo zaidi Ni pm
 
Back
Top Bottom