Natafuta mbwa wadogo wawili

Daaah! Hivi una Mungu wewe?
 
Acha ujinga kamunue wa mamilionisehemu nyingine basi. Mi nataka nimwombe mwamba kwa laki 4 we unakuja na fyokofyoko zako wengine uchumi ni wa chini bado!!
Mkuu, mbona umepanic hivyo? Nami hapo nilikuwa simaanishi kuwa hiyo bei ni ndogo. Nilikuwa NAKEJERI tu, nikimaanisha hiyo bei ni kubwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…