natafuta mbwa walinzi


Mkuu sana...na mimi nahitaji hao wa ukweli...ni PM please
 
Dr phone umempata vema hapo juu safari ni safari usije ukatapeliwa kama yeye umenipata mkuu?!
 
Pia ukienda pale Vet Dispensary ya Morroco wanakuwaga na matangazo ya mbwa on sale. unaweza pata au kama uko serious unaacha namba akitokea mtu anauza wanakushtua. Pole kwa uwizi na vibaka

nashukuru sana
 

mkuu nashukuru sana tena sana mkuu
 

asante mkuu nitajitahidi hivyo hivyo nipate kwanza hawa walinzi kisha nitakuja kuchukua wa urembo kwako najua utoninyima mkuu
 
ninayo mchanganyiko wa giant schnauzer na German shepherd . ila bei ni kubwa kama una $ 1000 kwa pupies tafadhali ni pm. hii mbegu ni balaa .ukicheza wanakutafuna hata wewe .

hawa ni hatari zaidi ya hatari wanitafune na me mwenyewe tena nitawatunaje tena
 

mkuu wangu heshima mbele asante sana kwa msaada wako zaidi kupita pm mkuu asante tena
 
Dr phone umempata vema hapo juu safari ni safari usije ukatapeliwa kama yeye umenipata mkuu?!

nikweli mkuu amekuwa msaada sana kwangu hope na kwa wengine pia
 
mwenye chihuahua jamani anijulishe....nataka kangu ka kwenye pochi kawe keupe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…