Ni kwamba unataka kuuza au una mgodi?Natafuta mchimbaji ama mfanyabiashara wa madini mwenye leseni ya madini aina ya Mica ama Lithium...
Umenena vema wacha tusubiri maana mwenyewe nina mzigo na sina lolote ninalojua kuhusu haya madini , so tunahitaji details tupate pa kuanziaToa taarifa kamili, wewe ndio mnunuzi au dalali. Pia sidhani kama leseni ni issue we tangaza kiasi cha mzigo unachotaka na bei yako kisha toa location na namna ya malipo.
Maana story za kusema "nina wazungu wangu" mnawakatosha tamaa watu maana huishia kwenye maneno na sio utebdaji. Weka hizo taarifa hapa na mawasiliano