Natafuta mchumba aje kuwa mke

Natafuta mchumba aje kuwa mke

Fsenior

Member
Joined
May 21, 2022
Posts
7
Reaction score
15
Mimi ni mwnanaume umri miaka 35, sina mtoto na sijawahi kuoa, kabila mchaga, dini mkristo, sina ajira kwa sasa ila nafanya vibarua.

Natafuta rafiki wa kike ambaye tukielewana tuje kuwa mke na mume. Awe na umri 28-33, asiwe na mtoto zaidi ya mmoja, awe mkristo, awe anajishughulisha, awe na elimu angalau fom 4. Kwa aliye serious aje PM
 
Mtani maji yamefika shingoni..........kila la kheri Mungu akusogezee wenye upendo wa kweli na akuweke mbali na mahasidi wa penzi.......
 
Back
Top Bottom