Sasa wewe ni wa kike au kiumeni?Sifa zangu ni mrefu wastani, rangi ni maji ya kunde, mkisto nasali Anglican, mpole na mwaminifu, umri 25
Natafuta mchumba awe mkristo kama ni dini nyingine tutaongea, awe urefu wa wastani akiwa mfupi sio mbaya, rangi yoyote, mwenye heshima, na mwaminifu, umri awe kuanzia 18-25
Unataka kuolewa?Embu tuma picha yako
Daaaah😄😄😄😄😄✅Umemshauri vizuri sans. Nadhaninni vema azingatie mwongozo wako.Sasa wewe ni wa kike au kiumeni?
Halafu huko kanisani mbona wengi wanaenda kuombewa kutafuta wachumba....