Natafuta mchumba alie tayari kuolewa

Natafuta mchumba alie tayari kuolewa

muro mrefu

Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
52
Reaction score
41
Habarini wana MMU

Mimi ni kijana wa miaka 27 nnaejiweza kumudu mahitaji yangu na hata ya famiilia ingawa mimi ni mleemavu nmebaatika kusoma na kupata kazi.

Nipo single hii ni kwasababu my lovely queen alitangulia mbele za haki mwaka jana. Nnatafuta msichana ambaye anania ya kua ktk sirias relationship.

Awe na sifa zifuatazo mweupe, umri kati ya miaka 22 to 26, vyovyote mrefu or mfupi na mwisho mcha mungu. Please ninaombeni ushirikiano wenu. My no is 0676395633 please don bip for games.
 
Wanaume bwana! Yaani mwenzio alikutoka mwaka jana, mwaka huu tayari unatafuta,!!!Hebu mlilie mwenzio hata angalau kwa miaka mitano (5) ndio uanze kufikiria kupata mbadala wake
 
Back
Top Bottom