muro mrefu
Member
- Sep 10, 2017
- 52
- 41
Kwaiyo baada ya hiyo miaka 5 atarudi???? Muache mkaka wa watu afurahie maisha aliyeenda kaenda harudi hata alie miaka elfu.Wanaume bwana! Yaani mwenzio alikutoka mwaka jana, mwaka huu tayari unatafuta,!!!Hebu mlilie mwenzio hata angalau kwa miaka mitano (5) ndio uanze kufikiria kupata mbadala wake
Ndio hapo sasa atakuwa amemsahau aanze mchakato wa kutafuta mpyaKwaiyo baada ya hiyo miaka 5 atarudi????
mmmmmh.!!Wanaume bwana! Yaani mwenzio alikutoka mwaka jana, mwaka huu tayari unatafuta,!!!Hebu mlilie mwenzio hata angalau kwa miaka mitano (5) ndio uanze kufikiria kupata mbadala wake
Kusahau ni uamuzi wa mtu sio muda, muhusika ndo anajua yupo tayari ama bado kuanza Safari mpya.Ndio hapo sasa atakuwa amemsahau aanze mchakato wa kutafuta mpya
Hahaha ngoja aje atie nenoNgoja aje naona unamtafutia mchumba, ila ungemuuliza muhusika kwanza kama ana pesa za kutosha ndio wataelewana na espy
Sasa shemeji si unajua ile fursa sijaiona hapa!! Fursa kama ileeee ulionivurugia kule.
Oops sahau yaliyopitaSasa shemeji si unajua ile fursa sijaiona hapa!! Fursa kama ileeee ulionivurugia kule.
Ili nikusamehe basi nitafutie fursa kama ileee, alafu asiwe mtoto. Si unajua tena!!Oops sahau yaliyopita
kuna mahali nimekutag aisee angalia vizuriIli nikusamehe basi nitafutie fursa kama ileee, alafu asiwe mtoto. Si unajua tena!!